Mamia ya waathiriwa wa Shakahola kuzikuwa Shakahola baada ya kushindwa kutambua miili hiyo

  • | NTV Video
    82 views

    mamia ya waathiriwa wa dini ya kufunga hadi kufa ya Paul Mackenzie kule Shakahola huenda wakazikwa kwenye msitu wa Shakahola baadaya mpasuaji mkuu wa serikali Johansen Oduor kushindwa kutambua miili hiyo kwa njia ya kisanyansi. Mpasuaji huyo alidokeza uwezekano wa miili hiyo isiyojulikana kuzikwa ndani ya msitu katika makaburi yaliyowekwa alama, itarahisisha kutambua chembe za DNA za miili hiyo ambazo zimewekwa kwa jumla.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya