Mamia ya wafanyibiashara katikia soko la Jua Kali wapata hasara kubwa baada ya moto kuteketeza mali

  • | K24 Video
    119 views

    Mamia ya wafanyibiashara katikia soko la jua kali karibu na mzunguko wa City Stadium hapa jijini nairobi wamepata hasara kubwa baada ya moto kuteketeza mali usiku wa Jumanne, na katika eneo la Kitengela, kaunti ya Kajiado wenye maduka pia wanakadiria hasara kubwa kutokana na tukio la moto.