Mamia ya wafugaji wa samaki ziwani Victoria wanakadiria hasara

  • | Citizen TV
    616 views

    Mamia ya wafugaji wa samaki wanaofugwa vizimbani eneo la Budalangi kaunti ya Busia wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya samaki wao kufa. Inaripotiwa kuwa zaidi ya tani 50 za samaki hawa walifariki usiku wa kuamkia leo baada ya kukosa oksijeni kwenye ziwa viktoria. Jayne Cherotich anaarifu zaidi kutoka Busia