Mamia ya wakaazi waachwa bila makao sehemu mbalimbali nchini kwa sababu ya mafuriko

  • | Citizen TV
    1,098 views

    Mamia ya wakazi katika kaunti mbalimbali wanaendela kutaabika kufuatia mvua inayosababisha mafuriko kote nchini. Barabara na mabomba ya maji yameharibiwa na kuwaacha baadhi ya wakenya kwenye athari ya mkurupuko wa maradhi.