Mamia ya wakazi wa Shauri Moyo watakiwa kuhama

  • | Citizen TV
    1,222 views

    Serikali inapanga kuwafurusha wakazi zaidi ya 300 wanaoishi katika nyumba za serikali eneo la Shauri Moyo hapa jijini Nairobi ili kujenga nyumba za bei nafuu