Mamia ya wakenya wahangaika wakitafuta pasipoti

  • | Citizen TV
    2,002 views

    Wakenya kutoka maeneo mbali mbali wameiomba serikali kuingilia kati na kutatua tatizo la kupata hati za usafiri au paspoti ambazo zinazidi kuwa kero kupata miezi kadhaa baada ya kutuma ombi kwa idara ya uhamiaji.