Mamia ya wakenya wahudhuria sherehe ya Sikukuu ya Leba bustanini Uhuru

  • | KBC Video
    15 views

    Mamia ya wakenya walistahimili baridi kali asubuhi na mvua kuhudhuria sherehe ya 59 ya sikukuu ya Leba iliyoandaliwa katika bustani ya Uhuru jijini Nairobi. Wafanyikazi wa vyama mbalimbali wakiwakilisha wenzao katika sekta mbalimbali walijitokeza katika sherehe hizi kwa mavazi rasmi pamoja na zana zao za kazi. Ripota wetu Sarafina Robi anatupa taswira kamili ya jinsi sherehe hizi zilivyokuwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive