Mamia ya wananchi wakijitokeza kudai haki kwa mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang

  • | NTV Video
    995 views

    Jiji la Nairobi hivi leo limegubikwa na maandamano makali, huku mamia ya wananchi wakijitokeza kudai haki kwa mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang anayeaminika kuuliwa akiwa mikononi mwa polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya