Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya waombolezaji waungana na familia kuomboleza waathiriwa sita wa ajali ya ndege

  • | Citizen TV
    2,682 views
    Duration: 3:33
    Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, waliungana na familia ya waathiriwa sita wa ajali ya helikopta kuomboleza na kutoa heshima zao za mwisho. Kwenye ibada ya wafu ya pamoja iliyofanyika katika kanisa la agc karen, huzuni na majonzi zilihanikiza kote huku familia na viongozi wakiwakumbuka walioaga dunia ghafla kwa masikitiko makubwa