Mamia ya wauguzi wameandamana leo mjini Kisii

  • | Citizen TV
    152 views

    Mamia ya wauguzi kutoka kaunti ya Kisii wamefanya maandamano mjini huo kulalamikia kile wanasema ni masaibu wanayopitia wakiwa kazini.