19 Aug 2025 1:22 pm | Citizen TV 611 views Duration: 2:32 Mamia ya wauguzi kutoka kaunti ya Kisii wamefanya maandamano mjini huo kulalamikia kile wanasema ni masaibu wanayopitia wakiwa kazini.