Mamia ya waumini wamiminika katika kanisa katoliki la St. Francis of Assisi

  • | K24 Video
    424 views

    Mamia ya waumini walimiminika katika kanisa katoliki la st. Fransis of Assisi Kikambala katika shughuli ya kulifungua kanisa hilo. Kanisa ambalo limechukuwa miaka 17 kutokamana katika ujenzi wake..