Mamilioni ya vijana Zambia wanahangaika kutafuta ajira

  • | VOA Swahili
    146 views
    Mamilioni ya vijana nchini Zambia wanapambana kupata kazi baada ya kuhitimu na wanaendelea kuwategemea wazazi wao kujikimu. Asilimia 82 ya idadi ya watu nchini humo ni chini ya umri wa miaka 35, kulingana na Umoja wa Mataifa. Mwaka 2018, kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Zambia kati ya vijana kiliripotiwa rasmi ni asilimia 41. Wahitimu watatu kutoka mji mkuu wa Lusaka, wanaelezea changamoto za kutafuta kazi kwa Kathy Short #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.