Wachezaji wa Afrika Mashariki wanavyovuna mamilioni CHAN

  • | BBC Swahili
    281 views
    Rais wa Kenya William Ruto amewaahidi wachezji wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars nyumba kila mmoja wao iwapo timu hiyo itashinda mechi yake ya robo fainali. Nchini Tanzania, timu ya taifa imekuwa ikipokea milioni 20, sawia na shilingi milioni moja za Kenya, kila wanaposhinda mechi yao. Na huko nchini Uganda, Rais Yoweri Kaguta Museveni aliinua morali ya viajana wa timu ya taifa Uganda Cranes, baada ya kuwaahidi shilingi milioni 30 za Uganda kwa kila mchezaji kwa kila mechi wanayoshinda.