- 56 viewsJamii za wafugaji kaunti ya Samburu zimekuwa zikiteseka kwa sababu ya ukosefu wa maji maeneo ya karibu na makazi. Hali hii iliishinikiza mamlaka ya ustawishaji wa eneo la Ewaso Ng'iro kujenga mabwawa na kuchimba visima vya maji ili kuwaezesha wafugaji kukata kiu .