Mamlaka ya kitaifa ya ujenzi yaidai serikali ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    151 views

    Wakati ambapo serikali kuu inaendeleza mradi wa nyumba za bei nafuu, mamlaka ya kitaifa ya ujenzi ina matumaini YA kukamilisha mradi wao wa nyumba hizo jijini voi kaunti ya Taita-Taveta kabla mwaka huu kukamilika. mradi huo wenye vyumba zaidi ya 80 unalenga kuwasaidia wakenya wenye mapato madogo mashinani. Hata hivyo shirika hilo pia linadai serikali ya kaunti ya TaitaTaveta shilingi milioni 3.26 , huku mkopo huo wa awali wa ujenzi wa nyumba wundanyi ukiwa shilingi milioni 16.2.