- 2,422 viewsDuration: 1:43Mamlaka ya kitaifa ya Uchukuzi na Usalama barabarani, NTSA imezuilia leseni za madereva 62 wa magari ya uchukuzi wa umma na kuamuru wapewe upya mtihani wa madereva. Hatua hii inafuatia tathmini ya ukiukaji wa sheria za trafiki .