Mamlaka ya ustawishaji wa bonde la Kerio yageuza taswira

  • | Citizen TV
    95 views

    Miaka miwili iliyopita, bonde la Kerio lilitambulika kwa ukosefu wa usalama, wizi wa mifugo, na kuhama kwa maelfu ya wakazi. Leo, taswira imebadilika kwa njia isiyotarajiwa, mashamba ya kijani kibichi ya mtama na mahindi yamenawiri, yakiwa alama ya matumaini mapya, kupitia mradi unaotekelezwa na KVDA.