Manaibu inspekta wakuu wa polisi waapishwa

  • | Citizen TV
    1,565 views

    Manaibu inspekta jenerali wa polisi wameapishwa ili kuanza kazi zao rasmi huku inspekta jenerali wa polisi mteule douglas kanja akisubiri kupigwa msasa baada ya kuteliwa na rais william ruto kuchukua nafasi iliyoachw awazi baada ya japhet koome kujiuzulu.