Manaibu wa magavana wataka majukumu yao yabainishwe

  • | KBC Video
    10 views

    Manaibu magavana sasa wanataka sheria ya usimamizi wa serikali za kaunti kufanyiwa marekebisho ili kubainisha majukumu yao. Wakiongozwa na naibu gavana wa Laikipia Reuben Kamuri, manaibu magavana hao walishauriana na kamati ya seneti kuhusu ugatuzi, jinsi ya kuwezesha wadhifa huo kuleta ufanisi zaidi katika utawala wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive