Mandalizii ya Kombe la Dunia

  • | VOA Swahili
    130 views
    Brazil wanaendelea na maandalizi yao kabla ya mechi yao kuu ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 dhidi ya wapinzani wao wakali na mabingwa watetezi wa dunia Argentina, mchezo utakaofanyika Maracana huko Rio de Janeiro.