Mandhari yaliyorekodiwa na VOA kutoka Qatar (Sehemu ya Pili)

  • | VOA Swahili
    554 views
    Wakati Kombe la Dunia 2022 likianza huko Qatar, mashabiki wengi wanavinjari katika sehemu mbalimbali na kila vivutio ambavyo vinapatikana katika mji wa Doha. Hapa utajionea baadhi ya mandhari kutoka mjini humo. Endelea kuwafuatilia waandishi wa Sauti ya Amerika Sunday Shomari na Kahli Abdu wakikuletea habari mpya kuhusu timu tano kutoka Afrika – Cameroon, Ghana, Morocco, Tunisia na Washindi wa barani Afrika Senegal na ujionee jinsi mashabiki wanavyosherehekea tukio kubwa la michezo duniani. #voaworldcup2022 #fifaworldcup #worldcup #qatar #qatar2022 #fifa #football #messi #soccer #ronaldo #futbol #futebol - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.