Manispaa ya Garissa yaagiza mifugo wanaorandaranda kuondolewa haraka

  • | Citizen TV
    240 views

    Kufuatia malalamishi ya ongezeko la mifugo wanaorandaranda mtaani kaunti ya Garissa, manispaa ya mji huo umetoa ilani kwa wenye mifugo hao kuwauza au kuwatafuti maeneo mbadala.