- 5,444 viewsDuration: 54:14Kuna kundi la maudhui mtandaoni linaloitwa “Manosphere” ambalo huenezwa zaidi na baadhi ya wanaume washawishi wa mitandaoni kama Andrew Tate. Maudhui hayo mara nyingi huzungumzia mahusiano, nguvu za wanaume, pesa na hukosolewa kwa kuhamasisha chuki au dharau dhidi ya wanawake. Mtindo huu sasa umeenea kutoka nchi za Magharibi hadi Afrika na Amerika ya Kusini, ambapo watu wanaiga mtindo huo na kupata umaarufu pamoja na fedha nyingi kupitia mitandao ya kijamii. Pia inaonyesha jinsi algorithimu za mitandao zinavyoendelea kusukuma maudhui hayo kwa watu wengi, jambo linaloongeza mgawanyiko kati ya wanaume na wanawake. #Manosphere #WaUanaume #BBCEye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw