Manusura wa wizi watatizika kupata damu Samburu

  • | KBC Video
    15 views

    Kaunti ya Samburu hukabiliwa na uhaba mkubwa wa damu kila mwezi. Hii inatokana na idadi kubwa ya waathiriwa wa uvamizi wa majangili ambapo wengi wao huachwa na majeraha kadhaa. Dkt Josephat Lenguris ambaye ni afisa wa afya katika hospitali ya Maralal ametoa wito kwa wakazi wa kauti hiyo kujitokeza kwa wingi kutoa damu ili kuokoa maisha ya waathiriwa wa mashambulizi ya wezi wa mifugo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #blooddonation #samburu