Maombolezo ya siku tatu yaanza nchini kufuatia vifo vya wanajeshi kumi

  • | Citizen TV
    3,344 views

    Taifa limeanza maombolezo ya siku tatu kufuatia vifo vya wanajeshi kumi, miongoni mwao akiwa ni mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogolla.Bendera katika ofisi za serikali na ofisi za ubalozi wa Kenya kote duniani, kambi za polisi na za kijeshi, na taasisi za umma zimepeperushwe nusu mlingoti kwa heshima ya walioaga dunia.