Skip to main content
Skip to main content

Maombolezo yagubika kijiji cha Sipala Webuye baada ya ajali ya trela kuua watu tisa

  • | Citizen TV
    2,673 views
    Duration: 2:51
    Simanzi imeendelea kutanda katika vijiji vya Sipala na Malaha eneo la Webuye wanakotoka waathiriwa tisa kati ya 15 waliohusika kwenye ajali ya Trela jana alfajiri. Maandalizi ya mazishi kwa waathiriwa yameanza huku familia zikisema zinaomboleza msiba walioutaja kuwa mkubwa kwao