Maoni kuhusu dhuluma za kijinsia zatolewa

  • | Citizen TV
    20 views

    Vikundi Vya Kutetea Haki Za Wanaodhulumiwa Kijinsia Vinalaumu Mila Na Desturi Za Jamii Kwa Kuchangia Dhulma Hizo Na Mauaji Ya Wanawake Katika Maeneo Mbalimbali Nchini. Haya Yameibuka Kwenye Vikao Vya Kukusanya Maoni Kuhusu Mbinu Za Kudhibiti Visa Hivyo Katika Kaunti Mbalimbali.