Skip to main content
Skip to main content

Maoni nya vijana kuhusu Kongamano la kiuchumi na biashara Nairobi

  • | BBC Swahili
    17,077 views
    Duration: 1:42
    Kongamano la maendeleo ya kiuchumi na biashara barani Afrika jijini Nairobi, je vijana wana maoni gani? Kongamano hili limeongozwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na William Ruto wa Kenya linelenga kukuza sekta ya viwanda, teknolojia ya dijitali na ushirikiano wa kiuchumi. Tanzania imeshauriwa kutumia fursa kufaidika katika biashara ya madini #bbcswahili #kenya #nairobi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw