Maoni ya Wakenya kuhusu mabadiliko kwenye baraza la mawaziri

  • | Citizen TV
    Raychelle Omamo ahamishiwa wizara ya mambo ya nchi za nje Mutahi Kagwe ateuliwa kuwa waziri wa Afya Monica Juma ateuliwa kuwa waziri wa Ulinzi Sicily Kariuki ahamishiwa katika wizara ya Maji na Usafi Peter Munya ahamishiwa katika wizara ya Kilimo Ukur Yattani athibitishwa kuwa waziri wa Fedha Simon Chelugui ahamishiwa katika wizara ya Leba Betty Maina ateuliwa kuwa waziri wa Biashara na Viwanda