VOA Mitaani: Maoni ya wananchi wa Kenya kuhusu hatua ya serikali kuongeza kodi

  • | VOA Swahili
    40 views
    Maoni ya wananchi wa Kenya juu ya kauli ya Rais wa Kenya William Ruto akisema anakusudia kuongeza kiwango cha kodi. Ungana na mwandishi wetu Salma Mohamed akikuletea mahojiano kamili... #kenya #voamitaani #wananchi #rais #kenya #williamruto #kodi #voa #voaswahili