MAONI YA WATANZANIA KUHUSU UCHAGUZI MKUU PART 3

  • | VOA Swahili
    Wakati kampeni za uchaguzi nchini Tanzania zikiwa zinafikia ukingoni na wananchi wakijiandaa kupiga kura wiki ijayo, VOA inakueletea muendelezo wa Makala maalum ya sisi ni watanzania ambapo tunazungumza na wakazi wa nchi hiyo kujua yale wanayofikiria kuelekea katika uchaguzi huu. #VOA