Maonyesho kuhusu usafiri wa kutumia nguvu za umeme yaanza Nairobi

  • | Citizen TV
    1,957 views

    Maonyesho kuhusu usafiri wa kutumia nguvu za umeme yanaanza leo hapa Nairobi ambapo zaidi ya watu elfu moja wanatarajiwa kuhudhuria. Maonyesho haya yanayoongozwa na kampuni ya Kenya Power kwa ushirikiano na shirika la GIZ la EMAK linanuiwa kuonyesha mpito wa magari au usafiri wa kutumia mafuta hadi kwenye umeme. Emily Chebet anaungana nasi kutoka jumba la KICC kunakoendelea maonyesho haya