Maonyesho ya kilimo ya Makueni

  • | Citizen TV
    67 views

    Maonyesho ya kilimo ya kaunti ya Makueni yanaandaliwa kwa mara ya kwanza baada ya kusimamishwa wakati ugonjwa wa corona ulizuka. Maadhimisho hayo yanayofanyika katika eneo la Makindu yatafunguliwa leo na Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo Jr huku yakilenga kutoa hamasisho kwa wakulima kuhusiana na mbinu za kisasa za ukulima zinazoweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi