Maonyesho ya kilimo yafunguliwa rasmi Kisii

  • | Citizen TV
    361 views

    Washikadau katika sekta ya Kilimo wanatarajia kufungua rasmi sherehe za maonyesho ya Kilimo inayoanza rasmi mjini Kisii baada ya kusitishwa kutokana na janga la Corona mwaka 2020. Wakulima kutoka matabaka mbalimbali na wenyeji kutoka maeneo mengi nchini wamehimizwa kutumia fursa hiyo kujielimisha na kunufaika na sherehe hizo mwaka huu. Chrispine Otieno yuko katkka uga wa Gusii na sasa anaungana nasi mubashara na mengi zaidi.