Maonyesho ya kilimo yawaleta pamoja wakulima wa Meru na Isiolo

  • | Citizen TV
    171 views

    Kaunti za Meru na Isiolo kwa ushirikiano na mashirika mbalimbali ya maendeleo zimeandaa maonyesho ya kilimo ambayo yaliwaleta pamoja wakulima na wafugaji kuzungumzia mbinu za kuongeza bidhaa zao thamani ili kuimarisha soko lao.