Maonyesho ya kimataifa ya biashara yatafanyika Nairobi

  • | Citizen TV
    28 views

    Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Nairobi yatafanyika kuanzia Septemba 29 hadi Oktoba 5 katika uwanja wa Jamhuri Park, yakiwa na kauli mbiu “Kukuza Kilimo na Biashara Rafiki kwa Mazingira kwa Ajili ya Ukuaji Endelevu wa Uchumi.”