Maonyesho ya upishi wa samaki yaandaliwa Lamu

  • | Citizen TV
    1,229 views

    Samaki ni kitoweo anayependwa na watu tofauti. Wengi hufahamu samaki wa kuchemsha,samaki wa kukaanga sawia na samaki wa kuchoma kama kitoweo, lakini kwa wakaazi wa Lamu samaki huandaliwa kama kitafunio, hutengenezwa supu na pia hupikwa na mikate. Rahma Rashid ana maelezo zaidi kuhusu mapishi ya samaki.