Mapacha waliokuwa wameshikana waonana kwa mara ya kwanza

  • | BBC Swahili
    571 views
    Watoto mapacha kutoka Brazil waliokuwa wameshikana kichwani na kutenganishwa kwa upasuaji uliochukua saa 27 wanaendelea vyema kulingana na madaktari waliomfanyia upasuaji huo. Mapacha hao walikuwa wakitumia ubongo mmoja na mshipa unaosukuma damu moyoni. Mapacha hao walifanyiwa upasuaji huo huko Rio de Janeiro. #bbcswahili #afya #riodejaneiro