Mapendekezo ya malipo zaidi Nairobi yako kwenye mswada wa fedha kaunti

  • | Citizen TV
    1,251 views

    Wakaazi wa kaunti ya Nairobi huenda wakalazimika kulipa kodi zaidi za nyumba, gharama zaidi kuegesha magari na hata ada ya juu kwa biashara, endapo mswada wa fedha ulio mbele ya bunge la kaunti utaidhinishwa. Wakaazi wa Nairobi sasa wakitakiwa kuhudhuria kujitokeza kutoa maoni yao kwenye kikao cha siku tatu cha kukusanya maoni na kujadili mapendekezo hayo