Mapendekezo ya mswada wa fedha wa mwaka huu yazidi kupingwa vikali na wadau mbali mbali

  • | K24 Video
    55 views

    Mapendekezo ya mswada wa fedha wa mwaka huu yanazidi kupingwa vikali na wadau mbali mbali. hii leo muungano wa walimu kuppet, muungano wa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na asasi zingine za kijamii pamoja na viongozi wa dini, wametoa wito kwa rais William Ruto na wabunge kusitisha mswada huo na kuufanyia marekebisho ili uwafae wananchi. Hata hivyo wandani wa rais wanazidi kushikilia msimamo kuwa mswada huo utapitishwa jinsi ulivyo.