Mapendekezo ya mwakilishi wa kike Nairobi Esther Passaris

  • | Citizen TV
    188 views

    Mwakilishi wa kike wa Nairobi Esther Passaris amependekeza mabadiliko .Kwa sheria inayotoa mwongozo wa maandamano nchini, akipendekeza kwamba waandamanaji wawe mita 100 mbali na ikulu