Mapigano kati ya magenge ya uhalifu Haiti yaongezeka, watu wakimbia makazi

  • | VOA Swahili
    584 views
    Maelfu ya wakaazi wamekua wakimbia makazi yao kutoka kitongoji kimoja katika mji mkuu wa Haiti Port-au-Prince huku kukiwa na mapigano makali ya risasi kati ya magenge hasimu. Siku ya Jumatano, wakaazi walionekana wakiondoka Pernier, wakielekea kwenye makazi ya muda. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.