Mapigano ya Mau Narok | Mtu mmoja auawa kwenye mapigano eneo la Tipis

  • | Citizen TV
    5,332 views

    Hali imeendelea kuwa tete katika kijiji cha Tipis kwenye mpaka wa Narok na Nakuru ambako mtu mmoja ameuawa na wengine wanane kujeruhiwa kwenye mapigano ya kikabila yaliyozuka eneo hilo. Zaidi ya nyumba kumi zimeteketezwa kufuatia mapigano haya yaliyozuka jana usiku