Mapigano yazuka upya baina ya jamii za mpakani Migori

  • | Citizen TV
    343 views

    Mizozo kati ya makabila yanayoishi katika mpaka wa Angata Barakoi huko Trans mara kaunti ya Narok na Gwitembe kaunti ya Migori umesababisha Familia nyingi kufurushwa na mashamba yao kuhaharibiwa