Maporomoko ya ardhi Cameroon

  • | BBC Swahili
    838 views
    Takriban watu 30 walifariki katika maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mji mkuu wa Cameroon Yaoundé. Juhudi za uokoaji zilitatizwa na mafuriko, na kuwalazimu wenyeji kutoa miili kutoka kwa vifusi kwa mikono yao. Mvua kubwa ilisababisha Mto Mefou kuvunja kingo zake siku ya Jumapili, na kuza Mtaa wa Mbankolo, ambako nyumba nyingi zilijengwa kwenye mlima, uliathirika zaidi. #bbcswahili #cameroon #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw