Maporomoko ya ardhi yalisababisha makorongo katika bonde la Kerio, Baringo

  • | Citizen TV
    2,023 views

    Zaidi ya watu 50 walifariki katika bonde la Kerio kaunti ya Baringo kati ya mwaka wa 2019 na 2020. Ni hali ambao iliwacha maafa makubwa miongoni mwa wakaazi, ambao baadhi yao walijaribu kujikuna kichwa kuzuia hali kama hii kutokea. Na japo kuna mikakati ya kupanda miti kuzuia maporomoko zaidi siku za usomi, changamoto hizi bado zinakabiliwa na changamoto kama anavyoarifu clare reshma, kwenye taarifa yake mwanahabari wetu wa Baringo Evans Kimaiyo.