Maporomoko ya ardhi yauwa watu 2 Silibwet Bomet

  • | Citizen TV
    1,429 views

    Watu watatu wameaga dunia baada ya kusombwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha usiku kucha katika maeneo mbalimbali. Mafuriko pia yalisababisha uharibifu mkubwa jijini Nairobi na viungani mwake, maji yakiingia ndani ya nyumba za wakaazi huku njia na barabara zikiwa hazipitiki kutokana na mvua kubwa iliyonyesha .