Maporomoko ya mchanga yaziba barabara ya Dongo Kundu - Miritini, Mombasa

  • | Citizen TV
    Kwa zaidi ya miezi miwili magari yanayotumia barabara ya dongo kundu katika makutano ya barabara ya miritini huko Jomvu wamelazimika kutumia njia moja baada ya mchanga kuporomoka na kufunika sehemu moja ya barabara hiyo. Mbunge wa Jomvu bado twalib ametishia kuwasilisha hoja bungeni baada ya ajali tatu kuripotiwa katika barabara hiyo huku shirika la KENHA likikosa kushughulikia barabara hiyo.