Skip to main content
Skip to main content

Mara Sugar na Posta Rangers wapanda katika ligi kuu ya Kenya baada ya ushindi na sare mtawalia

  • | Citizen TV
    52 views
    Mara sugar imepanda imeingia katika nafasi ya 9 kwenye ligi kuu ya Kenya baada ya ushindi mkali wa 1-0 ugenini dhidi ya Mathare united ambao wanashuka hadi nafasi ya 10. Posta rangers pia imepanda hadi nafasi ya 4 kwa sare ya njia tatu kwa pointi 19 pamoja na Gor Mahia na Kakamega homeboyz ambao wanashikilia nafasi ya 2 na 3. Posta imepata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Nairobi united